|
Habari kuhusu walimu wetu.
Walimu wote ni wenyeji wa nchi zao. Isipokuwa kwa nadra tunaajiri walimu kutoka hapa ila wana viwango vya juu
kielimu.
Walimu na wasomi wa kireno wantoka Ureno, Angola, Msumbiji, Brazil, Sao Tome.
Wenyeji wa kihishpania, Marekani kihishpani(marekani kusini na kati na ukaraibu). Lafidhi zingine kwenye eneo hizi ni
Kiaragoni, Kiasturiani, Kiandulasi na kikastiliani.
Wenyeji wa kifaransa wanatoka Ufaransa, Kodivaa, sehemu ya kifaransa kanadani, Zimbabwe, Togo, Benin na kadhalika.
Wenyeji wa kingereza wanatoka Ghana, Uingereza, Marekani, Kanada, Australia, Africa Kusini, Naijeria, Kenya na
kadhalika.
Wenyeji wa kijapani wanatoka Ujapani. Shule inaalika wenyeji wengine pia.
Wenyeji kiitaliano wanatoka Italia. Shule inaawalika wengine wengi.
Wenyeji wa kiholanzi Wanatoka Uholanzi na eneo la kiflemi.
Wenyeji wa kiarabu- tunao kumi na tatu (13) wanaongojea kuanza kazi.
Wenyeji wa kihausa wanatoka Ghana na Naijeria.
Wenyeji wa kiswahili wanatoka Kenya, Tanzania na Zanzibar.
Wenyeji wa kijerumani wanatoka Ujeremani na Austria.
Wenyeji wa kitwi, kifante, kiga, kidagame wanatoka Ghana.
Wenyeji wa kichina wantoka Uchina.
Wenyeji wa kirusi wanatoka Urusi.
Wenyeji wa kidenimaki wanatufuta kuajiriwa na shule.
Wenyeji wa kifini wanatufuta kuajiriwa na shule.
Wenyeji wa kiswidi wanatufuta kuajiriwa na shule.
Wenyeji wa kinorwegi wanatufuta kuajiriwa na shule.
Wrocław activeschool@activeschool.com.pl , soloda12@yahoo.com simu/faksi:341-91-10, simu:341-91-54, simu ya mkono:60798664
|