Istoria ya shule ya Active School na maneno ya mwanzilishi


Ulikuwa mwaka wa 2000, baadaya miaka mingi ya kufunza, ilinijia rohoni na akilini mwangu kwamba ni fungue shule ambayo itawaelimisha maelfu ya watu na itabadilisha maisha yao pia, kuwangua macho kumaanisha kuwaelimisha kulingana na utamaduni wa watu wa ugenini bila kusahau kufungua milango mipya duniani. Jukumu letu ni kuwafunza watu ili kuwawezesha kupita mipaka ya aina yoyote, kuwawezesha kuwa na nguvu maishani na kuwapa vipawa kwa mfano biashara,umatibabu na uongozi. Nia ya shule hii ni kujipanua hapo mbeleni kitaifa na kimataifa. Uanzilishi na mipango ya shule hii ni kutengeneza nyumba hapa ulimwenguni ambapo watu kutoka sehemu tofauti ulimwenguni wata jumuika ama kushirikiana kimawazo na kuelimishana.

Naamini kifilosofia kwamba kila mwanadamu ana kipawa ama uwezo ambao wengine hawana na kwa hivyo anaweza shirikiana na wengineo. Usijaribu kudharau mwanadamu duniani na usifikiri ya kwamba unajua mengi. Waruhusu wengine waongee ili uwasikize.

Wanapozungumza chukuwa ubusara na umaarifa walionao. Jichunge na marafiki zako unapotembea na mwerevu soma kutoka kwake. Kila mwanadamu amezaliwa na kipawa.

Nia ya shule ni kutambua vipawa na kusaidai walionazo kuzitumia. Active ni nyumbani kwa wengi wanaohitaji msaada na panapokuwa na uwezekano tutawasaidia moja kwa moja. Tunapofunza tunasambaza elimu na lugha, yatakikana kwamba ijulikane kuwa

msingi wa kufaulu na ushindi nikujitahidi kwa yale yote ufanyayo. Maisha bila elimu na kama supu bila chumvi. Ni vyema kuwa ushiipo uzidi kuongeza elimu kwani elimu ni nguvu inayo kusaidia kutumia umaarifa ulionao. Ni wengi waliokuwa na vipawa lakini hawakuzitumia kwa vile hawakuwa na wakati au nafasi. Mzalendo anafaa aziachie vizazi za kesho urithi. Hiyo ndio fikira ya kila mtu aliye na umaarifa. Ni wakati wa kutengeneza historia na itakuwa vyema ukiwepo. Wahistoria ni kama shujaa wapiganao hadi kifo.

Popote ulipo nakualika kwa maneno haya ya umaarifa ya mwanzilishi wa shule hii. Tembelea tovuti ya shule hii ya Active school of Languages. Kwa mawasiliano zaidi kwa njia ya barua pepe: soloda12@yahoo.com, activeschool@pnet.pl. Panua upeo wako.

Chukua hatua maishani mwako ya kuwa karibia wavunjao rekodi and watengenezao rekodi. Ongeza jina lako kwa walio faulu maishani usi ruhusu fikira mbaya zichukue uendeshaji wa maisha yako. Usiogope kufanya uwamuzi wa kimanufaa. Waulize marafiki zako wakusaidie wakati uhitajipo mawaidha. Jichunge na wivu ambapo kuwa hauta hujumu manufa katika maisha yako. Tunatarajia kuwa siku moja ma milioni ya watu kutoka namna zote za maisha, watageuzwa na shule ya active school. Lugha ndiyo ufunguo wa kujua watu na tamaduni wao. Bila lugha,kujua na kuelewa watu wengine kwa undani haiwezekani. Ukijua lugha utawajua wenyeji wa mahala hapo. Njoo tushirikiane ilituweze kutengeneza maisha ya watu wanaohitaji elimu ama kuboresha elimu na ujuzi walionao nyumbani au kazini ili uwe mtu ambaye hatasahaulika.

Chukua uamuzi maishani mwako usiwache amali iamue mwendo wa maisha yako.

Kumbuka ya kwamba yale unafaa ufanye leo usipo ya fanya itakubidi uyafanye baadaye ama utakuja kujilaumu maishani yako yote.


Maneno haya sio ya majabari wala ya wasiosoma.

Kuwa yule atayeongoza, wala sio mfwasi.

Tumia muda wako vizuri, usiseme kuwa ushachelewa maishani, fanya yale unayoweza ukiwa na nguvu

na afya njema bado lakini kitu ambacho unaweza kuadhirika mpengine ni motisha.

Ukiwa mkahawani au kwenye baa na mtu, usifikirie ni mteja kama wewe. Anaweza kuwa mwenye

kiwanda cha magari au maabara ya kisayansi nyuma ya nyumba yako.

Usiwahi sema kuwa umechelewa maishani. Kama wewe ni jambazi, unaweza kugueza mabao

yako(gereza) yawe mahali pa kuomba au uwanja wa kandanda.

Kuna wale waliofaulu enzi za kale na wewe pia unaweza. Unaalikwa kwa shule ya “Active School ”.

Jifunze jambo litalokusaidia maishani. Onyesha una elimu Onyesha unajua usiyumbeyumbe. Ambia

dunia juu yake.

Usiwahi fikiria unajua sana. Usiwahi choka na elimu. Popote ulipo na utakapokuwa kumbuka shule ya

Active” ni mahali pako.




Wrocław activeschool@activeschool.com.pl , soloda12@yahoo.com tel/fax:341-91-10, tel:341-91-54, mobile:607986645

|Szkoła językowa Wrocław | Język niemiecki Wrocław | Język angielski Wrocław | Język chiński Wrocław |
| Język hiszpański | Język włoski | Język francuski | Język rosyjski | Język szwedzki | Język wietnamski |
| Język fiński | Język japoński | Język niderlandzki | Język portugalski | Język norweski | Język arabski |
| Język turecki | Język hausa | Język grecki | Język chorwacki | Język duński | Język twi |
| Język swahili | Język polski | Język rosyjski | Język koreański | Język łaciny | Język migowy | Język tagalog |
| Język urdu | Język hindi | Język litewski | Język laotański | Język albański | Język bo¶niacki | Język bułgarski |
| Język węgierski | Język rumuński | Język perski Wrocław | Język ukraiński |
| Język słoweński | Język słowacki | Język macedonski | angielski | holenderski | flamański | Język flamański | Język holenderski | niederlandzki | norweski | Język hiszpański | hiszpański| chiński | niemiecki | włoski | francuski | szwedzki | Kursy tygodniowe |

web site designed by Nlandu M. Nguayila email:chrisnlandu@yahoo.com