|
Mawasiliano
Tuna mawasiliano na wizara za elimu kutoka Ureno, Italia, Ekwado, Ghana, Kanada, Marekani,
Uingereza, Australia, Brazil, Angola, Zimbabwe, Togo, Benin, Kodivaa, Ufaransa, Uswisi, Uholanzi,
Ufini, Denimaki, Uswidi, Norwe, Ujerumani na Ubelgiji tnatengeza utambulizi, kufahamu kiwango cha
elimu kwa mashule na vyuo vikuu vyao na pia mahitaji ya nchii hizi.
Hatua hizi nikutusaidia kuwa na kiwango cha juu cha elimu kwenye shule yetu "Active School" ili
kiwe afadhali kuliko nchi hizi tofauti. Miradi hizi zitatusaidia kuwaezesha wanafunzi wetu kuhitimu na
kiwango cha juu kuliko wale wanaohitimu katika nchi hizi mbali mbali. Tunapata habari kuhusu
mihtasari wanazotumia, vifaa vinazofundishwa kila mhula na mwaka wa masomo kabla ya kuhitimiwa
na digrii kutoka vyuo vikuu vilivyotajwa hapo awali na pia viwango vya mitihani yao. Pia tunajaribu
kupata makumbukumbu na mapato ya kielimu za wanafunzi bora zaidi
|