|
Kuhusu shule yetu:
motto:
Ubadilishaji wa elimu na utamaduni kwa bora na ukamilifu
Active English and Languages Education Centre ni mahali ambapo vipaji huzaliwa na kulewa. Kando na kufundisha lugha, tunafunza pia katika uwanja wa kiufundi kama vile makubaliano ya ki fedha kwenye njia ya banki, lugha ya kimatibabu, sayansi ya komputa, sheria, biashara, ekonomia, elektronika na kadhalika.
Katika kila lugha tunafunza uanzilishi mpaka kikamilio. Tunafundisha Kiingereza, Kifaransa, Kijerumani, Kiholanzi, Kirusi, Kireno, Kihispania, Italiani, Kijapani, Kichina, Kiswidi, Kifini, Kinorwe, Kiarabu, Kikorasia, Kigiriki, Hausa, Kiswahili, Twi, Ga, Dangme.
Wanafunzi hupita iliwaende viwango mbali mbali kulingana na mazungumzo yao na walimu wao ama kutokana na vipindi vya kwanza viwili. Tunawatayarisha wanafunzi wetu kwa mitihani yote ya kimataifa(kiwango cha juu, cha katikati, na cha kawida). Shule inahudumia vifaa kama vile vitabu. Walimu wetu ni wenyeji wa mataifa tofauti tofauti kote ulimwenguni. Kulingana na matakio ya makampuni mbali mbali masomo hufanyiwa mumo humo kampunini. Vipindi ni kulingana na wakati wa wanafunzi. Masomo ya mbali hufanywa kwa kutumia mtambo wa internet.
Active school:- shule bora zaidi ya lugha duniani,shule iliyo na kiwango cha juu zaidi cha elimu na ufunzi kwa kugeuza maisha(uoaji,biashara,kikao) ya wengi na tuna nafasi yako.
Tunapatiana vyeti baada ya masaa 144. Kunao pia uwezo wakujisajilisha na shule baada ya miaka miwili.
Hayo ndiyo maneno ya mwanzilishi: Dr. Solomon Adinortey Dogbe(Kaimu Mkuu).
Miujiza ya dunia na maisha hubashiriwa kwa kipawa cha lugha, Dr Solomon Adinortey Dogbe
Viongozi wa duniani wameweza kuzungumza kwa kutumia lugha. Bila lugha hakuna jinsi ya kuelewana kwa kiukamilifu. Bila lugha utakuwa hauna manufaa yoyote kwa jamii unayoishi nayo ingawa unaweza kuwa na vipawa vingi.
Shule ya Active ni mahali ambapo historia inatengenezwa mahali ambapo viongozi wadunia watatokea iliwaweze kuhubiri amani duniani.
Majadiliano yote ya amani yanaweza fanyika tu kwa kutumia lugha. Bila lugha binadamu hataweza kutangaza matokeo mapya.
Active school inatengeneza uhusiana mwema kati ya watu kwa kutumia njia ya mawaziliano. Kwa kufanya hivyo tumeweza kusambaza elimu na undugu.
Mafunzo yetu hapa sio ya kusoma kuongea peke yake mbali ni kusoma namna mbali mbali za kuwasiliana na watu. Hii ndiyo inayo fanya shule ya active kuwa ya kipekee ulimwenguni.
Kama unataka ujuzi kwa ubenki, ukarani, sheria, umatibabu na zinginezo Active school itakusaidia.
Uazimaji na kujitolea ndizo njia zetu za kugundua na kukusaidia kutumia vipawa vyako.
Usawa wa kila mtu duniani ndio nia yetu hasa. Ulimwengu usio na vita njaa na kadhalika.
Dr Solomon Adinortey Dogbe, President and Founder.
Kwa mawasiliano zaidi:
simu: 004871-3419154, 0048-607-986645,
faksi:004871-3419110
Barua pepe: activeschool@activeschool.com.pl, soloda12@yahoo.com
|